Mr Fly Away
Maktaba

Mwongozo mmoja kwa kila njia

Hakuna kulipa, hakuna kunifuata kwanza, hakuna barua pepe. Kila mwongozo huhakikiwa kwenye tovuti rasmi kabla ya kuchapishwa, na huonyesha tarehe ya mwisho ya kuhakikiwa.

DAR → USAVisa

Visa ya Mwanafunzi ya Marekani (F-1)

Vitu 5 na kosa linalouma kwa kila kimoja. Ada zote na lini unalipa. Sheria nne mpya za 2026. Maswali 9 ya interview. Kurasa 13 · PDF · Imehakikiwa 29.08.26

Tayari
DAR → CHINAUdhamini

Udhamini wa masomo China

Jinsi ya kuomba, gharama halisi kwa mwaka, na tarehe za madirisha ya maombi.

Inaandikwa
TZ → PASSPORTNyaraka

Passport ya Tanzania

Hatua kwa hatua, nyaraka zinazohitajika, gharama, na muda halisi — si ule wa kwenye tangazo.

Inaandikwa
DAR → UTURUKIMasomo

Masomo na ajira Uturuki

Njia inayokua kwa kasi kwa Watanzania, na ada zake halisi.

Inakuja
DAR → WORLDKazi

Kufanya kazi nje ya nchi

Njia halali za ajira, na jinsi ya kutambua tangazo la kazi la uongo.

Inakuja

Unataka njia fulani ipewe kipaumbele? Niandikie neno NJIA na jina la nchi. Ninazoulizwa zaidi ndizo ninazoandika kwanza.

Kwa nini ni bure? Kwa sababu maelezo sahihi hayapaswi kuuzwa. Wanaotoza pesa kwa taarifa zinazopatikana bure kwenye tovuti za serikali ndio wanaowaumiza wanafunzi wa Kitanzania. Ukihitaji msaada kwenye kesi yako mwenyewe — hapo ndipo unanilipa.

Niulize